Share

Ukarabati wa Uwanja wa Ruring’u waanza upya Nyeri

Share this:

Ujenzi wa uwanja wa Ruring’u mjini Nyeri umeanza baada ya shughuli hiyo kukwama punde tu ulipozinduliwa rasmi na rais uhuru kenyatta mwaka wa 2017. Awamu ya kwanza ya ujenzi unatarajiwa kukamilika septemba mwaka huu. Uwanja huo utagharimu shilingi milioni 450.

Leave a Comment