Share

Ujeuri wa masika: Watu 132 wameaga kufikia sasa

Share this:

Watu 132 kufika sasa wamefariki dunia kufuatia mafuriko ambayo yamekumba sehemu mbali mbali za nchi.
 Idadi hiyo iliongezeka kutoka watu 118 wiki iliyopita, wakati serikali ilitoa takwimu za adhathri za mvua kote nchini. 
 
Haya yanajiri huku maporomoko ya ardhi yakishuhudiwa eneo la Githambo kaunti ya Muranga, na maeneo mbalimbali nchini yakijipata yamefurika maji. Na kuathiri shughuli za kawaida.

Leave a Comment