Share

Uhuru na Ruto wamejipigia debe Malindi na Jomvu

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta hii Jumapili ameongoza kikosi cha Jubilee kwenye kampeni katika kaunti za Kilifi na Mombasa, kuwarai wapiga kura kuwapa tano tena uchaguzi ufikapo Agosti nane.
Wakihutubia wafuasi wao katika maeneo ya Malindi na Jomvu, Kenyatta na Ruto wamesema wenyeji wa kaunti za Pwani wanenufaika pakubwa chini ya serikali ya Jubilee, licha ya kwamba hawakumpigia kura Rais Kenyatta kwenye uchaguzi uliopita.

Leave a Comment