Share

Uhuru atetea uteuzi wa Mzee Awori

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta ametetea uamuzi wake wa kumteuwa aliyekuwa makamu wa rais Moody Awori kuwa mwanachama wa hazina ya michezo, sanaa licha ya umri wake mkubwa. Kulingana na rais Mzee Awori ataleta uwajibikaji katika hazina hiyo kwani vijana wengi walio katika serikali wamekuwa wanyakuzi wa mali ya umma.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment