Share

Uhaba wa nyanya: Wachuuzi walalamika

Share this:

Kupanda kwa bei ya nyanya kumewaathiri baadhi ya wakenya huku wengi wakilalamika kuwa bidhaa hiyo haipatikani kwenye soko na inapopatikana huwa na bei ghali mno.
 Kulingana na wakulima na mvua kubwa inayonyesha  tangu mwaka jana imesababisha kuharibika kwa mbegu za nyanya shambani

Leave a Comment