Share

Ugonjwa wa malaria bado wahangaisha katika maeneo ya Ziwa Victoria

Share this:

Takwimu zikionesha watu 400,000 hupoteza maisha kila mwaka barani afrika. Nchini Kenya asilimia 70 ya watu wako katika hatari ya kuambukizwa ugonjwa huo kila siku. Kwa mujibu wa watafiti wa ugonjwa huo, kuna uwezekano wa kuudhibiti ifikapo mwaka wa 2050

Leave a Comment