Share

Ufufuzi wa viwanda Voi

Share this:

Wizara ya viwanda kupitia idara ya biashara itajenga kiwanda cha kuboresha mazao ya wakulima katika kaunti ya Taita Taveta. kiwanda hicho kinakisiwa kuwa kitasaidia katika kuboresha mbinu za ukulima sawa na kuboresha mazao kama ndizi, zinazokuzwa katika kaunti hiyo.aidha wamiliki wa viwanda vidogo wanatarajiwa kupata nafasi ya kuboresha bidhaa zao kupitia mafunzo maalum

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment