Share

Ufufuzi wa Rivatex : Rais azindua upya mradi Eldoret

Share this:

Naibu wa rais William Ruto hii Ijumaa amemwahakikishia rais Uhuru Kenyatta kwamba atamuunga mkono  pamoja na viongozi wote  wa Jubilee  kuhakikisha kwamba wametimiza agenda kuu za serikali ya kitaifa.
Akizungumza katika shughuli ya ufufuzi wa kiwanda cha Rivatex mjini Eldoret, rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa kila mfanyikazi wa umma sasa atavalia mavazi rasmi yaliyoshonewa humu nchini kila Ijumaa, ili kufanikisha juhudi za kiwanda hicho, kando na kufufua viwanda vingine.

Leave a Comment