Share

Udaktari bandia: Wanafunzi waliomsaidia Mugo watupwa rumande

Share this:

Mahakama ya Milimani imeagiza wanafunzi wawili wa vyuo tofauti ambao wamekuwa wakifanya kazi katika kliniki inayodaiwa kumilikiwa na daktari bandia Mugo Wa Wairimu kuzuiliwa rumande. Wawili hao waliwekwa rumande baada ya kufikishwa mahakamani leo.

Leave a Comment