Share

Uchunguzi wa kifo cha afisa wa usalama katika ofisi ya Naibu wa Rais William Ruto waendelea

Share this:

Uchunguzi unaendelea kuhusu kifo cha afisa wa usalama ambaye mwili wake ulipatikana nyumbani kwake mtaani Imara Daima ukiwa na majeraha ya risasi. Imebainika kuwa Sajenti Kipyegon Kenei alikuwa mmoja wa maafisa waliokuwa wanafanya kazi katika afisi ya Naibu wa Rais William Ruto.

Leave a Comment