Share

Uchoraji wa uzi

Share this:

Matumizi ya uzi katika ushonaji wa mavazi mbalimbali unaendlea kuchukua nafasi kubwa katika jamii na hata kukidhi mahitaji tofauti mbali na ushonaji.
Naomi Wanjira msichana mwenye umri wa miaka 22 kutoka chuo kikuu cha Kenyatta amejimudu kutumia uzi katika kutekeleza sanaa ya uchoraji ikiwa mbinu yake ya kujitafutia riziki.
Mwanahabari wetu Nuzla Sabkii alipata fursa ya kuungana naye na kutuandalia hii.

Leave a Comment