Share

Uchaguzi wa wana chai

Share this:

Wakulima wa majani chai wamewachagua waakilishi watakaosimamia maslahi ya wakulima wa majani chai katika sehemu wanazopanda majani chai….zaidi ya waelekezi ishirini walichaguliwa jana bada ya kampeni iliyoendelea kwa zaidi ya wiki mbili….waelekezi hao watakuwa wakiwaakilisha wakulima katika mikutano ya bodi ya KTDA. Martin Kosegy anaungana nasi kutoka Kericho. #Semanacitizen #KTDA

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment