Share

Uchaguzi wa Useneta Migori wakaribia

Share this:

Wagombeaji wawili wa useneta wa kaunti ya Migori wameidhinishwa na tume ya uchaguzi nchini IEBC kuwania nafasi hiyo. Akizungumza jana jioni afisa msimamizi wa uchaguzi katika kaunti ya Migori ruth kulundu amesema kuna wawaniaji wengine watano wanaotarajiwa kuwasilisha stakabadhi zao kufikia alasiri ya leo. Dickson Ogola alikuwa wa kwanza kuwasilisha stakabadhi zake akifuatwa na mgombeaji wa chama cha ODM Ochilo Ayako.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment