Share

Ubunifu wa kufanya mazoezi baada ya maeneo mengi ya mazoezi kufungwa

Share this:

Miezi mitatu baada ya biashara nyingi kufungwa ikiwemo maeneo ya mazoezi, wakenya wengi wameonekana kubuni njia mbadala za kuendeleza mazoezi kuhakikisha wanalinda afya yao. Hata hivyo kama Elphas Lagat anavyotuarifu, huenda shughuli za maeneo ya mazoezi zikarejelewa karibuni endapo masharti yaliyowekwa yatazingatiwa

Leave a Comment