Share

Ubomoaji mtaani Pangani

Share this:

Serikali ya kaunti  ya Nairobi inasisitiza kuwa mkandarasi wa kujenga nyumba 1,580 za bei nafuu  katika mtaa wa  Pangani ataanza kazi mnamo  siku ya Ijumaa .

Haya yamesemwa na gavana Mike Sonko ambaye pia amesema kufurushwa  kwa wapangaji  wa  nyumba za  Pangani  kulifanyika kwa kufuata sheria , kwani wapangaji hao walikuwa wamepewa shilingi elfu mia sita ili waondoke , japo walisalia kukaidi.
Frankline Macharia anasimulia masaibu ya wapangaji , na usemi wa serikali ya kaunti  ya Nairobi.

Leave a Comment