Share

Ualimu chekechea: Mbali na masomo, sharti mtoto awe na tajiriba ya malezi

Share this:

Umeshawahi kutafakari hali na tajriba ya mwalimu wa chekechea mbali na elimu yake kuweza kufanikisha kazi yake kwa watoto? Wanahabari Sharon Barang’a, Robert Gichira na Bill Otieno walikutana na mwalimu wa chekechea katika kaunti ya Taita Taveta na kukuandalia taarifa.

Leave a Comment