Share

UAGIZAJI WA MAHINDI: Waziri Kiunjuri asema serikali itaamua

Share this:

Waziri wa Kilimo; Mwangi Kiunjuri, hii leo amewaponda wanasiasa wanaomukashifu kutokana na hatua ya seriakli ya kuagiza mahindi kutoka njee.
Hii ni baada ya viongozi mbalimbali haswaa kutoka Magharibi mwa nchi na Bonde la Ufa kupinga hatua hiyo, wakisema kwamba uagizaji wa mahindi kutoka nje utapunguza bei ya bidhaa hiyo muhimu na kuathiri wakulima.
Kiunjuri aidha amesema kwamba sio jukumu lake kuagiza mahindi kutoa nje bali ni jukumu la kamati maalumu ya serikali ambayo ina uwezo wa kuagiza mahindi humu nchini.

Leave a Comment