Share

Tume yampa Mmiliki wa ardhi ya Kibarani siku 10 kuwasilisha cheti

Share this:

Mwenyekiti wa Tume ya Ardhi Mohamed Swazuri ametoa orodha ya majina ya kampuni amabazo zinasemekana kupewa ardhi ya Kibarani kinyume cha sheria.

Ardhi hiyo ambayo imeibua mjadala kuhusu umiliki wake, inasemekana kuwa awali ilikuwa inamilikiwa na wizara ya mifugo  kabla ya kutwaliwa kinyume cha sheria.

Leave a Comment