Share

Tume ya IEBC kuanza sughuli ya kuratibu mipaka mwezi ujao

Share this:

Tume ya uchaguzi na mipaka iebc itaanza shughuli ya kukadiria mipaka itaanza mwezi ujao. Mwenyekiti wa tume hiyo wafula chebukati amesema kuwa ratiba kamili itatolewa punde iebc itakapopokea ripoti ya sensa na ufadhili wa bajeti. Elphas lagat ana maelezo zaidi

Leave a Comment