Share

Tumbojoto la Kibra : ODM wakosa kufanya maandamano

Share this:

Tume ya uchaguzi IEBC inakitaka chama cha ODM kuwasilisha ushahidi kuhusu madai ya baadhi ya wanajubilee kukutana na maafisa wa IEBC kupanga njama ya kuiba kura katika uchaguzi mdogo wa Kibra.
Mwenyekiti Wafula Chebukati anasema hawajapokea malalamiko rasmi kutoka kwa odm kuhusu madai hayo, hivyo basi itakua vigumu kuanzisha uchunguzi.
Aidha, IEBC imehaidi itaweka wazi sajili ya wapiga kura itakayotumika kwenye uchaguzi huo, kama anavyotuarifu Angela Cheror.

Leave a Comment