Share

Toroli ya ubunifu #SemaNaCitizen

Share this:

Gharama ya maisha inapoendelea kupanda ndivyo Wakenya na hasa wafanyibiashara wadogo wadogo wanavyojikuta wakitafuta mbinu za kila aina kukabiliana na hali ya uchumi . Mmoja wa wafanyabiashara hao ni Josephat Omwenga kutoka Mtaa wa Ruaka ambaye ameunda toroli kwa njia ya kipekee na ya kuvutia mno akiweka spika za muziki na hata mataa. Kwa kauli yake muziki unafanya gurudumu kusonga bila kijasho.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment