Share

Tofauti zaibuka kuhusu agizo la idara ya misitu nchini

Share this:

Siku chache baada ya shirika la huduma ya msitu wa Kenya kutoa taarifa kuwa hawajapokea malalamishi kutoka kwa wafanyabishara katika viwanda vya kupasulia mbao, wafanyakazi kutoka Kaunti za Laikipia, Meru na Nyeri sasa wanadai malipo yao.

Leave a Comment