Share

Tishio la Ebola

Share this:

Hofu imegubika hospitali ndogo ya kaunti ya Kericho baada ya mgonjwa mmoja aliye na dalili kama za ugonjwa wa Ebola kulazwa katika hospitali hiyo jana jioni. Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kuja Nairobi kutoka Malaba. Kwa sasa, Mwanamke huyo ametengwa huku vipimo vyake vikisafirishwa hadi kwenye taasisi ya utafiti wa kimatibabu KEMRI hapa Nairobi.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment