Share

Timu ya voliboli ya wanajeshi wa kike yamiminwa na Uganda

Share this:

Timu voliboli ya wanajeshi wa kike wa humu nchini walianza kempeni yao ya kutetea taji la afrika mashariki kwa pigo kubwa baada ya kumiminwa seti 3-0 na Uganda katika mechi yao ya kwanza ugani Kasarani.

Leave a Comment