Share

Timu ya taifa ya kandanda ya wachezaji waliokatwa miguu yarejea nchini

Share this:

Timu ya taifa ya kandanda ya wachezaji waliokatwa miguu imerejea nchini baada ya kuibuka ya 12 kati ya mataifa 24 yaliyoshiriki mashindano ya dunia yaliyoandaliwa nchini Mexico. Lakini wachezaji hao waliowasili nchini jana wamekita kambi katika afisi za wizara ya michezo wakidai malipo yao ya shilingi milioni 2 kutoka kwa serikali. Baadhi yao hawakuwa wamekula chochote baada ya kuwasili kutoka Guadalajara nchini Mexico katika safari ambayo ilishuhudia wao kucheleweshwa kwa zaidi ya saa 21.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment