Share

Timu ya mchezo wa raga ya wachezaji saba ilithibitishwa kushiriki kwenye mashindano ya Olimpiki

Share this:

Mapema wiki hii, timu ya kina dada ya mchezo wa raga ya wachezaji saba ilithibitishwa kushiriki kwenye mashindano ya Olimpiki baada ya Afrika Kusini kujiondoa. Ijapokuwa walifungwa katika fainali ya michuano ya mchujo, mkufunzi Mike Shamia anasisitiza kuwa walistahili kufuzu. Abula Ahmed anaarifu zaidi.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Leave a Comment