Share

Tanzia ya Joe Kadenge : Maiti yawasili nyumbani gisambai

Share this:

Mwili wa aliyekua mwanasoka mkongwe Joe Kadenge hatimaye umesafirishwa hadi nyumbani kwao magharibi mwa nchi.
Ndege iliyoubeba mwili huo ilitua kwenye uwanja wa michezo wa bukhungu huko Kakamega ambapo ndugu jamaa na marafiki walipata fursa ya kuuona mwili wa mwanasoka huyo mkongwe.
Mwendazake anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake katika kijiji cha Gisambai kaunti ya Vihiga.

Leave a Comment