Share

Tani 40 za mchele zilikuwa zikipakiwa upya Kariobangi

Share this:

Maafisa wa polisi mtaani Kariobangi wamewakamatwa washukiwa watatu wanaosemekana kupakia tani 40 za mchele ulioharibika ili kuuza katika maduka tofauti jijini Nairobi.
Operesheni hiyo iliyoongozwa na afisa mkuu wa kikosi cha Flying Squad Musa Yego inadhamiriwa kukabiliana na sakata ya bidhaa ghushi.

Leave a Comment