Share

Tangatanga kumng’atua katibu mkuu Raphael Tuju kwa ‘kushikana na Raila’

Share this:

Wabunge wa Jubilee wanaoegemea upande wa naibu wa rais William Ruto, wameanzisha upya mchakato wa kumng’atua katibu mkuu Raphael Tuju, baada ya habari kuwa huenda ni mshirika mkuu wa kinara wa ODM Raila Odinga.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment