Share

Tambiko la kuzika mgomba Kakamega

Share this:

Familia moja kutoka kijiji cha lubao eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega imefanya tambiko ya mazishi kuhalalisha kifo cha Pamela Asamba aliyepotea miaka kumi na mitatu iliyopita kwa kuzika mgomba wa ndizi uliovishwa nguo na kuwekwa kwenye jeneza kama njia moja ya kutekeleza mila na desturi ya jamii ya waluhyia.

Leave a Comment