Share

Taifa lagubikwa na hofu baada ya kugunduliwa kwa viwango vya juu vya sumu ya aflatoxin

Share this:

Hivi maajuzi taifa hili limegubikwa na hofu kubwa iliyosababishwa na kugunduliwa kwa viwango vya juu vya sumu ya aflatoxin katika baadhi ya bidhaa za unga na nafaka ambazo zimekuwa zikiuzwa katika masoko nchini. Gavana wa kaunti ya Trans-Nzoia Patrick Khaemba anadai kuwa bodi ya kitaifa ya nafaka na mazao inapaswa kulaumiwa kwa kusababisha hali hiyo. Khaemba anadai kuwa mapema mwaka huu, uchunguzi uliofanywa katika bodi hiyo ya nafaka na mazao huko Kitale ulifichua kuwa bodi hiyo ina hifdahi kuukuu na duni ambazo zinatishia juhudi za kuimarisha hali ya chakula nchini
Connect with KBC Online;
Visit our Website – http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter – https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook – https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram – https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

Leave a Comment