Share

Tahadhari yatolewa kuwa bwawa la Masinga huenda likavunja kingo zake

Share this:

Siku moja baada ya serikali kutoa agizo kwa wakazi wanaoishi karibu na mabwawa yanayotumika kuzalisha nguvu za umeme, sasa imebainika kuwa bwawa la Masinga liko hatarini na huenda likafurika wakati wowote.
Aidha, huenda sasa wakazi wakasalia kwenye hatari kwani wengi wanashikilia kuwa hawatahama kwani hawana pengine pa kwenda.
Mwanahabari wetu Hassan Mugambi alipaa katika eneo hilo na kuzuru mabwawa hayo na anatupa hali ilivyo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment