Share

Tahadhari kuhusu mlipuko wa kipindupindu baada ya maafa ya watu 3

Share this:

Watu watatu wamefariki kwa kile kinasemekana ni ugonjwa wa kipindupindu. Watatu hao walikuwa miongoni mwa waliohudhuria arusi moja Jumamosi iliyopita. Aidha wengine wengi wamelazwa hospitalini wakiuguzwa ugonjwa wenye dalili za kipindupindu. Wizara wa afya kaunti ya Nairobi Benard Muiya ametangaza kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu baada ya visa vitano vya ugonjwa huo kuripotiwa. Eunice Omollo anasimulia zaidi.

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Leave a Comment