Share

Taa sokoni Kisumu zawafaidi wenyeji

Share this:

Huku kaunti ya kisumu ikijiandaa kuhakikisha kuwa wafanyibiashara wanawezeshwa kufanya kazi saa ishirini na nne, wafanyabiashara katika eneo Nyamonye wamepata afueni baada ya taa kuwekwa kwenye soko. Hata hivyo, kama anavyotueleza mwanahabari wetu Laura Otieno, mradi huo unaotarajiwa kufaidi masoko yote nchini, umekumbwa na misukosuko ya wizi wa mitambo pamoja na ukaidi miongoni mwa wakaazi

Leave a Comment