Share

Sonko kulala ndani!

Share this:

Gavana wa Nairobi Mike Sonko, ametiwa mbaroni na maafisa wa polisi hii leo, saa chache baada ya amri ya kukamatwa kwake kutolewa na mkurugenzi wa mashtaka ya umma Nordin Haji.
Sonko alikamatwa mjini Voi alipokuwa akielekea kuabiri treni ili kuja jijini Nairobi.

Leave a Comment