Share

Sonko akishtakiwa : Beatrice Elachi huenda akamrithi

Share this:

Huku haya yakijiri kuhusiana na kukamatwa kwa gavana  wa Nairobi Mike Sonko swaloi linalowakanganya wakaazi wa Nairobi  ni lipi litakalofuata, iwapo gavana Sonko, atapatikana na hatia ya ufujaji wa fedha za umma, huku ukikumbuka huwa  amekuwa bila naibu gavana kwa muda wa takriban miezi 18 .
 Mwanahabri wetu Angela Cheror alinena na  mawakali kadhaa na kutupambia taarifa hii.

Leave a Comment