Share

Sokomoko za BBI: Wanasiasa wataniana

Share this:

Mkutano wa BBI uliofanyika bustani ya Mama Ngina haukukosa mbwembwe na sarakasi kinyume cha ilivyotarajiwa .
Wengi walifikiri kungekuwa na vurugu hata hivyo  wanasiasa walikuwa na nafasi ya kutangamana na kutaniana

Leave a Comment