Share

SIRI YA KUPUNGUZA UNENE: Mbunge wa Mvita, Abdulswamad Nassir, apunguza kutoka 130kg hadi 80kg

Share this:

Unene wa kupita kiasi ni hali ambayo watu wengi hawaridhishwi nayo, kwani humuweka mtu katika hatari ya kuugua Maradhi ya Moyo, Shinikizo la Damu, Kisukari na kadhalika..
Hali hii husababishwa na mambo tofauti, hususan kukosa mazoezi, kutozingatia lishe bora au hata chembechembe za urithi kutoka kwa wazazi.
Abdulswamad Shariff Nassir ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Mvita, ni miongoni mwa watu waliojikakamua vilivyo katika kutokomeza unene na uzani mzito zaidi mwilini, hali ambayo ilikuwa taharuki kwake na hata kumnyima fursa ya kujihusisha na mambo kadha.

Leave a Comment