Share

Siku ya taka ya kielektroniki

Share this:

Kwa kawadia kila suala kuhusu uchafuzi wa mazingira linapojadiliwa, wengi hufikiria tu kuhusu taka ya kawaida kutoka manyumbani.
Lakini, je wajua kuna changamoto kubwa ambayo inakumba ulimwengu mzima ya uchafuzi wa mazingira kupitia taka ya kielektroniki?
Taka hii inajumuisha vitu kama vile simu zilizoharibika,televisheni zisizotumika, vipakatalishi vilivyoharibika miongoni mwa vifaa vingine vya kieleketoniki.
Ulimwengu umeadhimisha siku ya kimataifa ya taka ya kieletroniki maarufu E-waste

Leave a Comment