Share

Siku ya mtoto wa kike Imeadhimishwa huku changamoto zinazomkabili zikiangaziwa

Share this:

Mara nyingi, wengi wameangazia wasichana katika jamii zilizotengwa,huku wakiangazia mahangaiko yao kama vile ukeketaji,ndoa za mapema,na ukosefu wa elimu.

Hata hivyo, kuna kikundi maalum katika jamii hizi hasa za wafugaji ambalo wakati mwingi hutengwa, nao ni wasichana walio na ulemavu.

Na ndio maana hii leo katika kuadhimisha siku ya mtoto wa kike,Nancy Onyancha anatuletea taarifa ya kutia moyo, ya mwanamke mwenye ulemavu ambaye sasa ni kielelezo chema kwa jamii, kutokana na ukakamavu wake.

Sio mwingine ila mwakilishi wa wanawake kaunti ya Kajiado,Janet Teiya.

Leave a Comment