Share

Siku ya kiama kwa Sonko: Gavana kushtakiwa Jumatatu

Share this:

Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, anaendelea kuzuiliwa na maafisa wa EACC huku akitarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.
Gavana Sonko alikamatwa mjini Voi alipokuwa akielekea kuabiri treni ya kuelekea  jijini Nairobi.

Leave a Comment