Share

Sifa za ufuo wa Diani, Kwale

Share this:

Sekta ya utalii nchini imekumbwa na panda shuka kwa muda mrefu. Lakini jitihada za bodi ya utalii na washika dau, zinaonekana kuzaa matunda. Mbinu mojawapo ni kudumisha ufasi hasa katika fuo za Bahari Hindi. Ufuo wa Diani ukiwa mfano mwema kwa kunyakua tuzo ya ufuo bora zaidi katika bara la afrika mara sita mfululizo.

Leave a Comment