Share

SIASA ZA SAFARI YA CANAAN : Zasheheni mazishini ya babake Kalonzo Musyoka

Share this:

Siasa za kufika Canaan na mamba kukatiza safari hiyo ya muungano wa NASA zilitamba hii leo kwenye mazishi ya marehemu Peter Musyoka babake kinara wa NASA na chama cha Wiper Kalonzo Musyoka nyumbani Tseikuru, kaunti ya Kitui. 
Baadhi ya viongozi haswa wa maeneo ya Ukambani wakihisi kana kwamba wao waliachwa nje kwenye mazungumzo kati ya rais Uhuru Kenyatta na kinara Raila Odinga huku wengine wakiyapuuza haya na kusema taifa limesonga mbele. 
Mwanahabari wetu Daniel Kariuki alihudhuria mazishi haya na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Leave a Comment