Share

SIASA ZA KUTANGATANGA: Naibu wa Rais Dkt. William Ruto azuru Nyeri

Share this:

Naibu wa Rais Dkt. William Ruto, hii leo amewataka  wapinzani wake wajihusishe na kazi itakayofaidi Wakenya kinyume na kushughulikia maisha yake na kazi anayofanya ya kuzindua miradi kama inavyohitajika kikatiba.
Akizungumza katika kaunti ya Nyeri alikozindua miradi tofauti, Ruto amesisitiza kwamba hatokoma kutangatanga na kuwahudumia wananchi huku viongozi walioandamana naye wakiwataka wapinzani kujiunga na Jubilee kwanza kabla ya kumtaka rais Uhuru Kenyatta kuwaunga mkono katika maazimio yao ya urais.

Leave a Comment