Share

SIASA ZA DHAHABU GHUSHI: Ruto amtaka Raila kujieleza bayana

Share this:

Zaidi ya wabunge 20 wanamtaka kiongozi wa ODM; Raila Odinga, kuelezea  bayana jinsi alivyohusika katika utapeli wa mwana wa mfalme wa milki za Kiarabu (UAE) kuhusu dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni mia nne .
Wabunge hao walioandamana na Naibu wa Rais Dakta William Ruto katika mji wa Naivasha, wamesema kuwa biashara ya madini haikuwa miongoni mwa kazi alizopewa Raila katika  Muungano wa Umoja wa Afrika(AU)

Leave a Comment