Share

Shule 4 zilizofungwa zafunguliwa Baringo

Share this:

Baadhi ya viongozi wa Baringo walikaripiana hadharani walipotofautiana kuhusu mipaka ya kata ya mukutani iwapo ipo katika eneo bunge la Tiaty au Baringo Kusini. Mkutano huo uliohudhuriwa na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa huenda ungesambaratika kufuatia malumbano hayo.

Leave a Comment