Share

Shujaa aliyewaokoa watu wengi Solai

Share this:

Bwawa la Patel eneo la Solai lilipovunja kingo zake watu arobaini na saba walipoteza maisha yao na wengine wengi kujeruhiwa. kwa walionusurika na baa hilo, jina la mtu mmoja litasalia kwenye kumbukumbu zao milele. Mary waruguru alitajwa kuwa shujaa kwa kuokoa maisha ya wengi. Hii hapa simulizi yake.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment