Share

Shirika la Elog kuzungumzia sahihi kuhusu kura ya maamuzi

Share this:

Kundi la Elog linalohusika pakubwa katika uchunguzi wa uchaguzi linafanya kikao na wanahabari kuhusiana na mdahalo wa kura ya maamuzi kuhusu katiba chini ya mpango wa punguza mzigo iliyopendekezwa na kiongozi wa chama cha Third Way Alliance Dakta Ekuru Aukot. Kundi linaangazia miongoni mwa masuala mengine uhakiki wa saini kwenye mpango huo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment