Share

Shirika la Autism Garissa laipa serikali changamoto

Share this:

Shirika la Autism Lights linataka Kaunti Garissa kutenga pesa katika bajeti ili kufadhili watoto wenye akili tahira na walemavu.Hii ni baada ya bunge la kaunti kupitisha hoja ya kusaidia watoto wanaoishi na hali hiyo.
Vile vile shirika hilo laomba wazazi wenye hali hiyo wajitokeze huku viongozi wakitoa wito kufanywa kwa zoezi ya kujua takwimu hakisi ya watoto wanaoishi na hali hii katika kaunti.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment