Share

SHERIA ZA MICHUKI : Mawaziri wa usalama na uchukuzi kukutana na wadau wa matatu kesho

Share this:

Waziri wa usalama wa ndani Dr Fred Matiang’i na mwenzake wa uchukuzi James Macharia, kesho watatangaza mipangilio ambayo serikali itachukua kuimarisha usalama barabarani, kabla ya misako ya kitaifa ya magari ya usafiri wa umma yasiyozingatia Sheria za Michuki kuanzia Jumatatu.
Hayo yanajiri huku wahudumu wa magari ya uchukuzi wakiwa hawana la mno ila kufuata sheria hizo, anavyotujuza Franklin Wallah.

Leave a Comment